Iyi hapa nyumba ya asili ya Vangoni yivili kuSongeya pa makumbushu ga Mashujaa. (Na hapa ni nyumba ya asili ya wangoni iliyopo Songea pale Makumbusho ya Mashujua)
Na iyi hapa nyumba ya chizulu walongo vitu .(Na hapa ni nyumba ya asili huko Afrika ya kusini/ hasa kwa kabila la kizulu. Ambao inasemekana ni wanaukoo na wangoni.)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

No comments:
Post a Comment