Friday, October 18, 2013

ASILI YA LIZOMBI NA NYIMBO ZAKI!!!

Mwavayangu mwimanya asili ya LIZOMBI: Lizombi kwa asili lihuma kuUYAHO(Tunduru) na kwenuku yavi ngita ngóma yevakemelayi BENI. Hinu lizombi liyingili kuungoni myaka ya arobaini na ndavya vakinayi vasongolo na pakukina vinyugusa viwunu. Ndava lizombo vakina vasongolo tuyi, hinu vangoni wvakadeni valikalikemela CHITOTO. Pakuhuma kungóma ya chitoto kwakahumukila kangi ngóma ya mangaukau.
 Nyimbu za lizombi:-
1. Natoa shukrani wee kwa baba na mama ee x2
  -kunioza mkeee na leo nina mtoto x2 na leo nina mtoto na leo nina mtoto!
2. Nilipokuwa mwenyewe, mbona hanisemi x2
nikiondoka kidogo nyuma mwanisengenya
- nyuma mwanisengenya x2
- Ena liwaya mwana wangu wee, ae liwaya ee
- gabwelile, gabweli maserikali kwakapungu!!
- we nyina wangu namuhagama yoyo kulaga chondi.
Zingi yati tiyimba ligono lingi, ngati na veve una nyimbo zingi yandikayi hapa yati nisengula.

Wednesday, October 2, 2013

JUZI TAWILI KULITUMBA ...LELU TYAMBAYI KULIKUYUFUSI KUNYUMBA KWA MAWU!!!!!

Hapa wadala na wana vinega manji...ta woha timanyili manji  ni muhimu sana kwa vandu...umanyili pa Likuyu kwoki hapa?

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI