Tuesday, December 5, 2017

MWANDI KUPERAMIHU KWITU

MWANDI/KADENI KWITU KUPERAMIHU

Thursday, November 2, 2017

Monday, October 2, 2017

MATEVELE GAVILI SANA KWITU KULITUMBANDYOSI TILIMA SANA:-).

Malavi/matevele  kwitu kuLItumbandyosi tilima sana

Monday, September 4, 2017

KARIBU UGALI, MANDONDO NA SIPA/UDAGALA

Ugali  na mandondo, somba na sipa:-) mata ndo ndo ndo 

Tuesday, August 15, 2017

Tuesday, May 9, 2017

LIZOMBE/KITOTO NG`OMA YA ASILI YA CHINGONI


TIKONGENEKAYI LIGONI LINGI. NANGONYANI WINU!

Wednesday, April 26, 2017

LIZOMBE : NGÒMA YETU KUSONGAYA


YATI TIWONENGANE KAWILI KARIBUNI....

Sunday, March 12, 2017

TIDUMISHAYI UTAMADUNI WITU

 Iyi hapa nyumba ya asili ya Vangoni yivili kuSongeya pa makumbushu ga Mashujaa. (Na hapa ni nyumba ya asili ya wangoni iliyopo Songea  pale Makumbusho ya Mashujua)
 Na iyi hapa nyumba ya chizulu walongo vitu .(Na hapa ni nyumba ya asili huko Afrika ya kusini/ hasa kwa kabila la kizulu. Ambao inasemekana ni wanaukoo na wangoni.)

Thursday, February 23, 2017

BURUDANI I YA LIZOMBE

TIDUMISHAYI CHINGONI CHITU NA UTAMADUNI WITU....

Monday, February 6, 2017

KARIBU TILYAYI UGALI NA LIKOLO LA NDIMBILU

Ugali na likolo la ndimbilu = (ugali na mboga iliyoungwa karanga )

Thursday, January 5, 2017

LELU LIGONO LA NAZALIWI NANGONYANI NENE

Lelu  ndi tarehe/ligono familia ya Mzee Ngonyani yamemili na furaha ya mahele kumpata mwana msikana/ binti yao mwe  alizaliwi ligono ngati la lelu.
TIMALIKISAYI NA KAWIMBU KABWINA HAKA ....

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI