Tuesday, February 17, 2015

TUSISAHAU NGOMA ZETU ZA ASILI!!!



Ngoma ya Mtuli huchezwa na wapangwa waishio wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe. Video hii ni ya wapangwa waliohamia mkoa wa Tanga wilaya ya Muheza kijiji cha Kwabada

No comments:

Post a Comment

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI