Monday, September 3, 2012

LELU TIHAMBAYI KUMAGAGULA MPAKA KULIPOKELA ....

 
Hapa naha wananchi watamili kumpilikisa mkubwa mkutano..hapa naha Kumagagula..Katibu kata kumagagula vamnyimi kula ndava ya likomo..mwikumbuka wimbo huu....
 Wanachijiji wa Kulipokela

Wakulima va LIHONA.

3 comments:

  1. haya sijui ndiyo mambo ya kilimo kwanza au?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wakulima wa Wilaya ya Songea, wameshauriwa kubadilika na kuanza kutumia mbegu ya chotara aina ya PAN 691 ambayo ina ubora wa kiwango cha juu na inayostawi vizuri katika ukanda wa juu.

      Wakulima hao wameshauriwa wasiendelee kutumia mbegu za kienyeji ambazo zimekuwa zikiwapatia mazao kidogo.

      Ushauri huo ulitolewa juzi na Meneja Masoko wa Kampuni ya Pannar Seed Kanda ya Juu Kusini, Torie Mafie, alisema mbegu hiyo ina komaa katika kipindi cha kati ya siku 150- 160 na kwamba inavumilia mno magonjwa ya majani.

      Alisema mbegu hiyo pia ina uwezo wa kutoa mavuno mengi na kumpatia mkulima chakula cha ziada.
      .
      "Najua maisha ni magumu ila nawaomba wakulima wajibane na kukubali kubadilika ili mtumie mbegu bora na hatimaye kilimo chenu kiwe chenye tija zaidi kuliko ilivyo sasa," alisema Mafie

      Kwa upande wake, mkulima Tito Mbilinyi, aliwapongeza wataalam wa kampuni hiyo kwa kuwatembelea wakulima katika mashamba yao, ili kujua matatizo yanayowakabili.

      Mbilinyi pia aliwashauri wakulima wenzake kubadilika na kuanza kutumia mbegu bora za mahindi kwa kuzingatia kuwa mbegu za kienyeji wanazotumia sasa zinawarudisha nyuma katika kilimo.

      Delete
  2. Kaka Ray usegwili sana kwa kupita hapa karibu sana ujipilikayi uvili kunyumba.

    ReplyDelete

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI