Uweza kujova hapa nde Kusongeya kumjini, Chijana ipitisa somba zivisi kuhuma kuliziwa la kunyaza. Anikumbwishi kweli enzi zila za nitemeye kunyanja. picha niyivusili http://ruvumapress.blogspot.com/
NAPENDA KUWATAKIENI KHERI SANA YA MWAKA MPYA 2024
3 months ago
Hapa ukitaka kutoa mawazo, lazima ubahatishe mahali pa kubofya. Duh
ReplyDeletebwana chib inabidi ukoleze ngeli kwanza. Huu ni utajiri wa lugha tulizonazo. Big up Nangonyani
ReplyDelete