Saturday, June 12, 2010

MANGATUNGU!!

Lelu ninogela kweli mmangatungu namuyinu, kweli nikita kiki? manyayi nilolekesayi ye picha iyi.Kunyumba nga kunyumba.

3 comments:

  1. Asante kwa maoni yako ya aina moja kwa wiki njemaBora salamu ...
    Abstraction maandiko na kutafakari

    ReplyDelete
  2. Da Yasinta.

    Nimetafuta jina la kitaalamu la Mangatungu (velvet beans au cowitch beans).

    Tena kwa taarifa ya wanawakunyumba, tunaweza kuyatumia mangatungu kuondoa umasikini. Mangatungu ni dawa kama viagra, ni kahawa, na ni dawa ya kutibu magonjwa ya nerves kama vile Parkinson disease. Si shangai, wakunyumba wanaweza kucheza ligambusa usiku kucha kitandani bila kuchoka. mangatungu hayo.

    Kwa habari zaidi soma http://en.wikipedia.org/wiki/Mucuna_pruriens#Uses

    ReplyDelete

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI