Sunday, March 28, 2010

DADI WITU

Nimekaa na kufikiria nimeona nibora nifungua blog ya kingoni kwa hiyo leo blog hii ya Kingoni inafunguliwa rasmi na sala hii:-

"Hinu nyenye pemwisali, msala naha:-
CHINGONI

Dadi witu,
Witama kunani kulihundi,
Lihina laku lihyuwanike,
Ubambu waku utibwerele,
Chewifuna wenga vakiti vandu,
pamlima apa ngati chevikia kunani kulihundi,
Utiletele lelu chakulya chitu cha magono goha,
Utiwusile getihokili,
ngati tete tukuwawonela lipyana vevahoki kwa tete.
Ukotoka kutileka kulemala nichihaki,
nambu utiwusile vihaki.
(Ndava ubambu waveve na makakala na uvaha, magono gaha. Pepayi)
Mt. 6, 9-13.

21 comments:

  1. kwabwina saaaaaanaaaa kwabwina kamwaliiiiiii

    ReplyDelete
  2. Yalaaaaaaah.......!

    Nimeshuka hapa Mfaranyaki, nikaenda Bombambili, nikapitia Maposeni hadi Kitai, kisha nikazungukia Muhukuru nikaja kutokea Matogoro lakini baaaaaaaado nimetoka kapa.

    Ngoja nirudi zangu town!

    ReplyDelete
  3. Dada Yasinta

    Hongera sana kwa kufungua blogu hii. Tutajifunza mengi. Tunahitaji kuitangaza kila sehemu ya nchi yetu. Tunahitaji kuhifadhi kumbukumbu za kila sehemu ya nchi yetu.

    Nakumbuka jinsi Markus Mpangala alivyofanyikiwa kutuelimisha kuhusu maeneo ya Ziwa Nyasa, katika blogu yake ya Karibu Nyasa, kwa picha na maelezo. Ni hazina kubwa.

    Hongera sana. Naamini hii ni changamoto, na itabidi sisi wengine tujitokeze tufanye hivyo hivyo. Usishangae nikijitosa ulingoni siku za usoni na kablogu ka Wamatengo.

    ReplyDelete
  4. Hapa lazima uwe unatutafsiria Yasinta..kwabwina sana!!

    ReplyDelete
  5. Kwa hivo sote tunakaribishwa lakini habari zitakuwa za wakoni tuu
    karibu sana wote wagoni na wasio wagoni
    au sijelewa vizuri dada yasinta

    ReplyDelete
  6. duhu, baathi ya maneno kikwetu ni vichekesho, matusi na hata "Nyeti"
    ni vizuri kushea utamaduni

    ReplyDelete
  7. Dada, usengwili sana kudindula ye blog iyi nawona moto yati wiyaka kupita kuruhuviku.Tivvili pambwani apa, waka nuuu kulongela vya ungoni. Bahvva zikomo!

    ReplyDelete
  8. Utiletele lelu chakulya chitu cha magono goha: Hii nimeipenda...lol

    ReplyDelete
  9. Hongera sana, tutakuwa tunatembelea kupata moja moja, shukran

    ReplyDelete
  10. hapa imekula kwetu tusiokijua kiluga hiki.

    ReplyDelete
  11. Hongera sana,sasa itabidi tujifunze sana humu Kingoni...lol.

    ReplyDelete
  12. Mwaka huu lazima nijue kingoni!teh!kabwina mno dada Yasinta!teh!

    ReplyDelete
  13. hongera Yasinta..ila itapendeza iwe BLOG YA KINGONI kama ulivyosema na si BLOG YA WANGONI.

    Namaanisha ni blog itakayo tujuza mambo mbalimbali ya Ungonini ....kingine mbali na kublog kingoni basi itakuwa vema na siye msaada kwenye muinuko japo tafsiri...

    KILA KHERI..LETE HABARI ZA KUNYUMBA

    ReplyDelete
  14. Msengwili mwawoha na mkotokuchoka kugendela hapa na kujifunza chingoni.

    ReplyDelete
  15. Usengwili Yasinda!!

    ReplyDelete
  16. Jamani namuyinu nivvili na sala iyi, Ee mwe utiwumbili, uvvakonganisi vvandu mu ndoa yitakatifu. Nanene nigana kupokela sakramenti iyo na kutangatana muyangu wa ndoa magono goha ga maisha gangu. Hinu nikuwomba, ee Bwana unitangatilayi kuhagula kwa hekima nipatayi mchumba wabwina na anyambili, mwaminifu, nifuatayi zaidi kunyamba kwa roho kuliku kumihu, zaidi avyayi na tabia njema kuliku chibongi. Mitima yitu yigananayi, nia zitu zipatanayi, titamayi pamonga kwa amani na kulela vvalongo vitu kwa kukuheshimu vveve na kupata baraka zaku. Amina.

    ReplyDelete
  17. YAP YASINTA Nami nasema uchenene yambone masengo ga mbone yeleyo ni ikusalala kuti kumesyi ni kumusyi tukumpa ilulu mwali jwa kumsyi jwa chingoni kumpokasya imkutenda kusalala
    CHe Jiah

    ReplyDelete
  18. Nahitaji misemo ya kingoni mitatu jamani naomba itafsiriwe kiswahili

    ReplyDelete
  19. Kelvin Karibu..
    Sijakuelewa sawa sawa unaweza kufafaniua?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dada yasinta naomba misemo au methali za kingoni na maana zake kwa kiswahili

      Delete

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI