Nilipokuwa mwenyewe, mbona hamnisemi x2 Nikiondoka kidogo nyuma wanisengenya -nyuma mwanisengenya x2 Ena liwaya mwana wangu wee, ae liwaya ee --gabwelile, gabweli maserikali kwakapungu!!...we nyina wangu namuhagama yoyo kulaga chondi
....au labda viyimba natoa shkrani wee kwa baba na mama ee x2 ...-kunioza mkeee na leo nina mtoto x2 na leo nina mtoto na leo nina mtoto! ...haya mpaka lukela...
Friday, April 5, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI
