Showing posts with label ngoma ya asili ya wapangwa. Show all posts
Showing posts with label ngoma ya asili ya wapangwa. Show all posts

Tuesday, February 17, 2015

TUSISAHAU NGOMA ZETU ZA ASILI!!!



Ngoma ya Mtuli huchezwa na wapangwa waishio wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe. Video hii ni ya wapangwa waliohamia mkoa wa Tanga wilaya ya Muheza kijiji cha Kwabada

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI