Nimetafuta jina la kitaalamu la Mangatungu (velvet beans au cowitch beans).
Tena kwa taarifa ya wanawakunyumba, tunaweza kuyatumia mangatungu kuondoa umasikini. Mangatungu ni dawa kama viagra, ni kahawa, na ni dawa ya kutibu magonjwa ya nerves kama vile Parkinson disease. Si shangai, wakunyumba wanaweza kucheza ligambusa usiku kucha kitandani bila kuchoka. mangatungu hayo.
Kwa habari zaidi soma http://en.wikipedia.org/wiki/Mucuna_pruriens#Uses
Asante kwa maoni yako ya aina moja kwa wiki njemaBora salamu ...
ReplyDeleteAbstraction maandiko na kutafakari
wow
ReplyDeleteDa Yasinta.
ReplyDeleteNimetafuta jina la kitaalamu la Mangatungu (velvet beans au cowitch beans).