Nimekaa na kufikiria nimeona nibora nifungua blog ya kingoni kwa hiyo leo blog hii ya Kingoni inafunguliwa rasmi na sala hii:-
"Hinu nyenye pemwisali, msala naha:-
CHINGONI
Dadi witu,
Witama kunani kulihundi,
Lihina laku lihyuwanike,
Ubambu waku utibwerele,
Chewifuna wenga vakiti vandu,
pamlima apa ngati chevikia kunani kulihundi,
Utiletele lelu chakulya chitu cha magono goha,
Utiwusile getihokili,
ngati tete tukuwawonela lipyana vevahoki kwa tete.
Ukotoka kutileka kulemala nichihaki,
nambu utiwusile vihaki.
(Ndava ubambu waveve na makakala na uvaha, magono gaha. Pepayi)
Mt. 6, 9-13.
Sunday, March 28, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwabwina saaaaaanaaaa kwabwina kamwaliiiiiii
ReplyDeleteYalaaaaaaah.......!
ReplyDeleteNimeshuka hapa Mfaranyaki, nikaenda Bombambili, nikapitia Maposeni hadi Kitai, kisha nikazungukia Muhukuru nikaja kutokea Matogoro lakini baaaaaaaado nimetoka kapa.
Ngoja nirudi zangu town!
Dada Yasinta
ReplyDeleteHongera sana kwa kufungua blogu hii. Tutajifunza mengi. Tunahitaji kuitangaza kila sehemu ya nchi yetu. Tunahitaji kuhifadhi kumbukumbu za kila sehemu ya nchi yetu.
Nakumbuka jinsi Markus Mpangala alivyofanyikiwa kutuelimisha kuhusu maeneo ya Ziwa Nyasa, katika blogu yake ya Karibu Nyasa, kwa picha na maelezo. Ni hazina kubwa.
Hongera sana. Naamini hii ni changamoto, na itabidi sisi wengine tujitokeze tufanye hivyo hivyo. Usishangae nikijitosa ulingoni siku za usoni na kablogu ka Wamatengo.
Hapa lazima uwe unatutafsiria Yasinta..kwabwina sana!!
ReplyDeleteKwa hivo sote tunakaribishwa lakini habari zitakuwa za wakoni tuu
ReplyDeletekaribu sana wote wagoni na wasio wagoni
au sijelewa vizuri dada yasinta
duhu, baathi ya maneno kikwetu ni vichekesho, matusi na hata "Nyeti"
ReplyDeleteni vizuri kushea utamaduni
Dada, usengwili sana kudindula ye blog iyi nawona moto yati wiyaka kupita kuruhuviku.Tivvili pambwani apa, waka nuuu kulongela vya ungoni. Bahvva zikomo!
ReplyDeleteUtiletele lelu chakulya chitu cha magono goha: Hii nimeipenda...lol
ReplyDeleteHongera sana, tutakuwa tunatembelea kupata moja moja, shukran
ReplyDeletehapa imekula kwetu tusiokijua kiluga hiki.
ReplyDeleteHongera sana,sasa itabidi tujifunze sana humu Kingoni...lol.
ReplyDeleteMwaka huu lazima nijue kingoni!teh!kabwina mno dada Yasinta!teh!
ReplyDeleteKubwina sana dada
ReplyDeletehongera Yasinta..ila itapendeza iwe BLOG YA KINGONI kama ulivyosema na si BLOG YA WANGONI.
ReplyDeleteNamaanisha ni blog itakayo tujuza mambo mbalimbali ya Ungonini ....kingine mbali na kublog kingoni basi itakuwa vema na siye msaada kwenye muinuko japo tafsiri...
KILA KHERI..LETE HABARI ZA KUNYUMBA
Msengwili mwawoha na mkotokuchoka kugendela hapa na kujifunza chingoni.
ReplyDeleteUsengwili Yasinda!!
ReplyDeleteJamani namuyinu nivvili na sala iyi, Ee mwe utiwumbili, uvvakonganisi vvandu mu ndoa yitakatifu. Nanene nigana kupokela sakramenti iyo na kutangatana muyangu wa ndoa magono goha ga maisha gangu. Hinu nikuwomba, ee Bwana unitangatilayi kuhagula kwa hekima nipatayi mchumba wabwina na anyambili, mwaminifu, nifuatayi zaidi kunyamba kwa roho kuliku kumihu, zaidi avyayi na tabia njema kuliku chibongi. Mitima yitu yigananayi, nia zitu zipatanayi, titamayi pamonga kwa amani na kulela vvalongo vitu kwa kukuheshimu vveve na kupata baraka zaku. Amina.
ReplyDeleteYAP YASINTA Nami nasema uchenene yambone masengo ga mbone yeleyo ni ikusalala kuti kumesyi ni kumusyi tukumpa ilulu mwali jwa kumsyi jwa chingoni kumpokasya imkutenda kusalala
ReplyDeleteCHe Jiah
Nahitaji misemo ya kingoni mitatu jamani naomba itafsiriwe kiswahili
ReplyDeleteKelvin Karibu..
ReplyDeleteSijakuelewa sawa sawa unaweza kufafaniua?
Dada yasinta naomba misemo au methali za kingoni na maana zake kwa kiswahili
Delete