Sunday, December 22, 2013

DOMINIKA YA LELU TILOLEKESAYI MAKANISA GITU /PAROKIA ZITU

 Likanisa la KUMPITIMBI
 LIKANISA LA KUMAGAGURA
 LIKANISA LA KULIGERA
NA HAPA NAHA LIKANISA LA KULUSONGA

Wednesday, December 11, 2013

UKAGANAYI KUPATA HABARI ZA MAHELE HAPA NDE MAHALI PAKI...

 
CHAMA CHIWOYAYI
 
..Ila tikotokunywa sana valongo vangu..afya zito ni za muhimu ...na hinu  kugula mbolea na kwene ...haya tikongenekayi liguno lingi au kwali kumwaka??:-)

Friday, November 22, 2013

WANACHIJIJI KULITUMBANDYOSI/KUMABUNI VAVILI KUMKUTANO!!!

Mlongo wangu anitumili picha. Vatamili vipilikisha jinsi ya kulima mazo bora vakitavuli? Nikumbwiki sana kunyumba kulitumba kunyumba nga kunyumba.


Nyumba ya dadi wangu Efraim Ngonyani..nigonili mgati humu ...Yaani nikumbuka gamahele kweli...Nimsengula sana mlongo Maganga kwa kumbukumbu hiyi. Anitumili picha hizi

Tuesday, November 12, 2013

LELU TYAMBAYI KUMGAZINI ...MWIWONA CHIKUNJA HICHI...

Lelu nijipiliki kweli kuhamba kuMgazini  niwanzili tu safari yangu pana...haya tikonganeka ligono lingi....

Friday, October 18, 2013

ASILI YA LIZOMBI NA NYIMBO ZAKI!!!

Mwavayangu mwimanya asili ya LIZOMBI: Lizombi kwa asili lihuma kuUYAHO(Tunduru) na kwenuku yavi ngita ngóma yevakemelayi BENI. Hinu lizombi liyingili kuungoni myaka ya arobaini na ndavya vakinayi vasongolo na pakukina vinyugusa viwunu. Ndava lizombo vakina vasongolo tuyi, hinu vangoni wvakadeni valikalikemela CHITOTO. Pakuhuma kungóma ya chitoto kwakahumukila kangi ngóma ya mangaukau.
 Nyimbu za lizombi:-
1. Natoa shukrani wee kwa baba na mama ee x2
  -kunioza mkeee na leo nina mtoto x2 na leo nina mtoto na leo nina mtoto!
2. Nilipokuwa mwenyewe, mbona hanisemi x2
nikiondoka kidogo nyuma mwanisengenya
- nyuma mwanisengenya x2
- Ena liwaya mwana wangu wee, ae liwaya ee
- gabwelile, gabweli maserikali kwakapungu!!
- we nyina wangu namuhagama yoyo kulaga chondi.
Zingi yati tiyimba ligono lingi, ngati na veve una nyimbo zingi yandikayi hapa yati nisengula.

Wednesday, October 2, 2013

JUZI TAWILI KULITUMBA ...LELU TYAMBAYI KULIKUYUFUSI KUNYUMBA KWA MAWU!!!!!

Hapa wadala na wana vinega manji...ta woha timanyili manji  ni muhimu sana kwa vandu...umanyili pa Likuyu kwoki hapa?

Friday, September 13, 2013

LELU TYIMBAYI TIGENDELAYI KUNYUMBA YANGU KULITUMBANDYOSI

 SHULI YA KULITUMBANDYOSI
Kwa vale ve vihuma kiLitumba au wapitili kuLitumba muyiwene shuli yetu ya mwandi? Yaani nikujiwona ngati nivili baho....

MGUNDA WA NDIZI/MATOKI
KuLitumba wayanzishi mradi wa kugima mifereji kwa ajili ya kuyitilila mazao na hapa wilola mfereji wa maji kuyitilila matoki aga. Picha hizi aniletili munu..UASENGWILI SANA .

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI

SONGEA YETU NDIYO ASILI YA WANGONI